Please use this identifier to cite or link to this item: http://ir.mu.ac.ke:8080/jspui/handle/123456789/3798
Title: Usawiri wa Familia ya KIsasa katika fasihi ya watoo Nchini Kenya
Authors: Gatere, Lucy Njeri
Zaja, James Omboga
Rayya, Timammy
Keywords: Fasihi
Usawiri
Issue Date: 2019
Publisher: Moi University Press
Abstract: Madhumuni ya makala haya ni kuhoji kwamba licha ya ya kuwepo kwa familia za aina mbalimabali na zilizo changamano nchini kenya, watunzi wa hadhiti za watoto wanaendela kusawiri familia kiini ambazo kimsingi huwa na baba , mama,ihali kihalisa wapo watoto wanaotokana na familia za wazazi mmoja, familia za malezi na wengine kutokana taasisi za malezi na hata familia ambapo walezi wa watoto ni babu na nyanya za watoto wanaolewa.
URI: http://ir.mu.ac.ke:8080/jspui/handle/123456789/3798
Appears in Collections:School of Arts and Social Sciences

Files in This Item:
File Description SizeFormat 
Gatere Lucy Njeri etal 2019465.11 kBAdobe PDFThumbnail
View/Open


Items in DSpace are protected by copyright, with all rights reserved, unless otherwise indicated.