Please use this identifier to cite or link to this item:
http://ir.mu.ac.ke:8080/jspui/handle/123456789/3782
Title: | Ufemerali katika Nyimbo za muziki wa Bongofleva nchini Tanzania: Mifano kutoka Nyimbo Teule |
Authors: | Yesava, Steven |
Keywords: | Ufemerali Nyimbo Bongofleva |
Issue Date: | 2019 |
Publisher: | Moi University Press |
Abstract: | Makala haya yamechunguza ufemerali katika nyimbo za muziki wa Bongofleva nchini Tanzania, mifano kutoka katika nyimbo teule za wasanii wa muziki huu ambao nyimbo zao zimeonekana kuwa ufemerali. Istilahi ufemerali iliyotumika katika makala ya imetoholewa kutoka lugha ya kiingereza katika neno" Ephemeal" likimaanisha hali ya kitu kupendwa sana, kuvuna na baada ya muda mfupi kitu hicho kuchuja na kupoteza mvuto au umaarufu wake. |
URI: | http://ir.mu.ac.ke:8080/jspui/handle/123456789/3782 |
Appears in Collections: | School of Arts and Social Sciences |
Files in This Item:
File | Description | Size | Format | |
---|---|---|---|---|
Ufemerali katika Nyimbo za muziki wa Bongofleva nchini Tanzania: Mifano kutoka Nyimbo Teule | 572.97 kB | Unknown | View/Open |
Items in DSpace are protected by copyright, with all rights reserved, unless otherwise indicated.